Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kichaa achoma ofisi ya Kikwete

Jumatatu , 18th Jun , 2018

Ofisi ya Mbunge wa Chalinze (CCM), Ridhiwani Kikwete jana jioni imeteketea kwa moto na kusababisha uharibifu mkubwa ambao bado thamani yake haijafahamika lakini jengo lote limeteketea.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jonathan Shanna amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa kuna mwanamke aliyedhaniwa kuwa na matatizo ya akili ambaye alikusanya taka na kuzichoma nje ya ofisi, ambapo upepo ulipelekea moto kushika jengo la ofisi hizo.

“Kuna Mwanamke kichaa alikuwa na moto nje ya ofisi, upepo ulipokuja ulisukuma moto ukashika jengo, ambapo kikosi cha zimamoto na uokoaji kwa kushirikiana na wananchi, walifanya kazi ya kuuzima lakini tayari ulikuwa umeteketeza jengo zima na mali chache ziliokolewa ”, amesema Kamanda Shanna.

Aidha Kamanda Shanna amesema kuwa hasara iliyotokana na moto huo bado Mh. Ridhiwani anapiga hesabu na atakapokamilisha atatoa taarifa rasmi. Msikilize Kamanda Shanna hapo chini

 

HABARI ZAIDI

Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi

"Ndege ijayo ipewe jina la Mwl Nyerere" - Profesa

Baadhi ya Wanachi wa Kata ya Msowero, wakiwa Katika Mkutano wa Hadhara na Mkuu wa Wilaya

Mwenyekiti atiwa mbaroni kwa kuuza mlima, Msowero

Sehemu iliyokumbwa na Mafuriko Kusini mwa Brazil

Wanaokufa kutokana na mafuriko waongezeka Brazil

Baadhi ya Wabunge Wakichangia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi

Serikali yashauriwa kuwa bunifu sekta ya usafiri

Baadhi ya Wananchi Wakishudia Ajali Iliyomgonga Mwendesha Bodaboda

Watatu wanusurika kifo, scania ikimgonga bodaboda

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi (kulia) pamoja na Meneja Mwandamizi wa Afya, Usalama na Mazingira kutoka GGML, Dk Kiva Mvungi (kushoto) wakimpatia vifaa kinga mmoja wa washiriki wa mafunzo kwa madereva bodaboda wa jiji la Arusha.

Bodaboda 200 Jijini Arusha wanolewa na kufundwa