![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2022/01/23/WEBAS.jpg?itok=U6o8uLta×tamp=1642938909)
Dr. Salim Ahmed Salim
Dkt. Salim pia amewahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Afrika (AU) kuanzia Septemba 1989 hadi Septemba 2001.
Mbali na Rais Samia, viongozi mbalimbali duniani wampongeza na kumtakia kheri.
Baadhi yao barani Afrika ni Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar, Rais Ramaphosa wa Arika Kusini na Rais Paul Kagame wa Rwanda.
Nje ya mipaka ya Afrika amepongezwa na Mshauri wa sera za ndani wa Marekani Susan Rice.