
Ofisa za Bunge jijini Dodoma (Picha kutoka Dodoma)
Taarifa iliyotolewa leo Jijini Dodoma imekanusha madai hayo ya hivi karibuni nakutaka umma wa watanzania upuuze taarifa hizo zinatolewa.
Ofisi ya Bunge imeeleza kuwa wabunge wote wanakatwa kodi zote stahiki kwa mujibu wa sheria ikiwemo Kodi ya mapato ya (PAYE) inayokatwa kwenye mishahara ya wabunge kama ilivyo kwa watumishi wa umma wengine na viongozi wa kisiasa ikiwemo.