
Balozi John Emmanuel Nchimbi
Taarifa hiyo imetolewa leo Agost 11, 2023, baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwapangia vituo vya kazi Mabalozi wakiwemo Mabalozi wateule sita aliowateua tarehe 10 Mei, 2023 na kuwabadilisha vituo vya kazi mabalozi wanne
Katika kuteua amemteua Gelasius Gaspar Byakanwa (Balozi Mteule) kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Burundi, ambapo anachukua nafasi ya Balozi Jilly Maleko ambaye amestaafu.
Aidha amemteua Fatma Mohammed Rajab kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Oman. Balozi Rajab anachukua nafasi ya Balozi Abdallah Abasi Kilima ambaye amestaafu.
Wengine waliopangiwa na kuhamishwa wasome hapa chini