Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

#AUDIO Nchemba asikitishwa na vituo vya polisi

Jumapili , 13th Aug , 2017

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba ametembelea kituo cha polisi cha wilaya ya mkalama mkoani singida kuangalia hali ya kituo na utendaji kazi wa askari polisi na mazingira wanayofanyia kazi askari ambapo amekiri vinahitaji msaada.

Waziri Mwigulu amejionea hali ambayo si nzuri ya kituo cha polisi cha wilaya ya mkalama ambayo ni wilaya mpya iliyomegwa kutoka wilaya ya Iramba huku kituo cha polisi cha wilaya ya mkalama hali ikiwa siyo nzuri kwa uchakavu na udogo ambacho kina mahabusu moja ya wanaume tu huku wanawake wakihifadhiwa mapokezi.

Waziri Mwigulu ameahidi kuwa kamati ya ulinzi na usalama ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Mkalama kuwa ujenzi wa kituo hicho utaisha kwani atakwenda kukaa na wenzake wa wizarani akiwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro kupanga utaratibu wa kumalizia ujenzi wa vituo vyote polisi ambavyo ujenzi wake umekwama hasa wa hizi wilaya ya mpya ambazo zimemegwa katika wilaya mama.

Naye Kamanda wa Polisi wilaya ya Mkalama (OCD) John Ntilima amesema kwasasa wanatumia kituo kidogo cha polisi Nduguti kama kituo cha polisi cha wilaya ambacho ni kidogo sana  hakitoshelezi kwa ufanyaji kazi wake kwani wanatumia ofisi tatu ambazo ni mbovu  na chakavu sana hivyo wanaujenzi wa kituo kikubwa cha kisasa lakini wamekwama kumalizia na kumuomba waziri awasaidie katika kukamilisha hilo huku akifafanua kwa sasac pia wilaya hiyo ina jumla ya askari Polisi 84.​

Msikilize hapa chini Waziri Nchemba akifunguka

HABARI ZAIDI

Coaster iliyoparamia nyumba Bukoba

Tisa wanusurika kifo Kagera

Picha ya Fat Joe na Chris Brown

"Chris Brown anafaa kuwa 2Pac wa kisasa" - Fat Joe

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji