Alhamisi , 14th Jul , 2016

Imefahamika jijini Dar es Salaam kwamba bidhaa asilimia 20 zinazokaguliwa na TFDA hazina ubora kwenda kwenye matumizi ya Binadamu.

Imefahamika jijini Dar es Salaam kwamba bidhaa asilimia 20 zinazokaguliwa na TFDA hazina ubora kwenda kwenye matumizi ya Binadamu.

Hayo yamesemwa na mkurugenzi wa usalama na ubora kutoka mamlaka ya chakula na dawa nchini TFDA bwana Raymond Mwenge wakati akizungunza na waandishi wa habari na watumiaji wa bidhaa hizo ambapo amesema wameanza kupitia mipaka mbalimbali ya nchi ili kuhakikisha wanazuia njia za kuingiza bidhaa hizo kwa magendo.

Amesema wamegundua baadhi ya watanzania ambao ni watumiaji wa bidhaa hizo wamekua wakichangia kwa asilimia kubwa kuingia kwa bidhaa hizo kwakuwafoicha waingizaji wa bidhaa hizo.

Amesema sambamba na kuwakamata na kuwafungia biashara zao wameanza kuimarisha ukaguzi kwenye masoko mbalimbali ya bidhaa hizo zisiendelee kutokea nchini