Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Ajali yaua wawili Singida

Jumatano , 3rd Dec , 2014

Watu wawili wamefariki papo hapo baada ya lori la mizigo aina ya fuso, kuiparamia pikipiki ya magurudumu matatu maarufu kwa jina la bajaji katika barabara kuu itokayo Singida mjini kuelekea Mwanza.

Watu wawili wamefariki papo hapo baada ya lori la mizigo aina ya fuso, kuiparamia pikipiki ya magurudumu matatu maarufu kwa jina la bajaji katika barabara kuu itokayo Singida mjini kuelekea Mwanza.

Akielezea tukio hilo kamanda wa polisi mkoani Singida ACP Thobias Sedoyeka amesema tukio hilo limetokea siku ya tarehe 2 Desemba saa 1:50 usiku, baada ya dereva wa gari la Mistubishi Fuso yenye usajili wa namba T.641 AVH ambaye alikuwa amelewa kuanza kuparamia magari mawili kwa nyakati tofauti na baadaye kuigonga bajaji ambayo ilikuwa na abiria moja na dereva na kusababisha vifo vya watu wawili papo hapo.

Akithibitisha kutokea kwa vifo hivyo kaimu mganga mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa singida Daktari Daniel Tarimo, amesema wamepokea miili ya watu wawili ambapo mmoja ametambulika kwa jina la Thadei Antony Maleo ambaye alikuwa dereva wa bajaji na mwili wa mwanamke ambaye haja fahamika kwa jina anayekadiriwa kuwa na miaka kati ya 25 na 30.

Kwa upande wao mashuhuda wa ajali hiyo pamoja na kueleza kuwa dereva wa fuso alikuwa akiendesha gari kwa mwendo wa kasi bila ya kuwa na tahadhari, wameshauri madereva kuacha kutumia vileo pindi wanapokuwa katika kazi zao za kuendesha magari, kwani wamekuwa wakisababisha vifo na hasara kwa uzembe.

Katika kipindi hiki cha mwishoni mwa mwaka pamoja na kusherehekea sikukuu ambazo zina kuja, kila mwaka kumekuwa na matukio ya ajali mbalimbali kutokana na uzembe wa madereva, jambo ambalo lina changia kupoteza maisha ya watu wasio kuwa na hatia na kuwasababishia ulemavu.

HABARI ZAIDI

Bujukano Mahungu John, Mwenyekiti wa Umoja wa Waganga na Wakunga wa Tiba Asili Tanzania

Waganga wa jadi waungana kukemea ukatili, Geita

Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Mvua zilizoambatana na upepo zimeua watu watano TZ

Muonekano wa Eneo la Somanga baada ya Mawasiliano kati ya Lindi na Dar es Salaam kurejeshwa.

Mawasiliano yarejeshwa barabara ya Dar - Lindi

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga

Kituo cha kupoza umeme kujengwa Tunduma

Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Songwe Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Charles Bukombe, akizungumza na abiria

"Fungeni mikanda muda wapo safarini" - SSP