Jumatano , 19th Jan , 2022

Mkuu wa wilaya ya Kibaha Sara Msafiri, ameliagiza jeshi la polisi kutofungia kiwanda chochote bali wawawezeshe wahusika na kuwapatia elimu na namna ya kuongeza tija katika uzalishaji wao.

Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kibaha Sara Msafiri, na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe

Hatua hiyo imekuja ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, baada ya Khalfani Issa (42) mkazi wa Kongowe kukamatwa kwa kuendesha kiwanda bubu cha kuchakata mawese, na kuagiza aachiwe ili asaidiwe kupitia SIDO.

Tazama video hapa chini