
Chanzo cha ajali hiyo kimeelezwa kuwa dereva wa lori hilo kushindwa kulimudu gari wakati akishuka kwenye mteremko uliokuwa na kona kali, na kumgonga mtembea kwa miguu na kisha kupinduka na kusababisha vifo vya watu hao saba.
EATV inafanya mawasiliano mkoani Kigoma kupata taarifa zaidi juu ya ajali hiyo.