Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kulia) akimpatia cheti Meneja Mwandamizi wa Afya, Usalama na Mazingira na wa GGML, Dk. Kiva Mvungi kwa kutambua mchango wa kampuni hiyo katika Mfuko wa Udhamini wa Ukimwi (ATF) katika kuisaidia Serikali kuendeleza mapambano dhidi ya VVU na UKIMWI. Ni katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yaliyofanyika kitaifa mkoani Morogoro

2 Dec . 2023

Picha ya Young Lunya kushoto, upande wa kulia ni Country Wizzy

2 Dec . 2023