
Akitoa taarifa soko meneja maendeleo ya biashara kutoka soko la hisa la Dar es salaam leonald Kameta amesema hati fungani za miaka 10 na miaka 25zimeendelea kufanya vizuri katika soko zikinunuliwa zaidi na wawekezaji.
Hata hivyo ukubwa wa mtaji katika soko la ndani hapo kwa wiki iliyoishia tarehe 8desemba umepungua kwa kiwango cha asilimia 0.30 kutoka shilingi 10.23trilioni hadi kufikia 10.20trilionikwa wiki iliyoishia tarehe 2desemba 2022