Jumatatu , 24th Jan , 2022

Kufuatia uhaba wa vinywaji baridi nchini, uchunguzi umebaini kwamba uhaba huo umetokana na changamoto ya upatikanaji wa malighafi muhimu zinazohitajika katika uzalishaji wa vinywaji hivyo hususania sukari ya viwandani ambayo inaagizwa kutoka nje ya nchi.

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji, akiwa mkoani Shinyanga wakati akitoa taarifa ya uchunguzi wa tume iliyoundwa kuchunguza bei ya vinywaji baridi.

Tazama video hapa chini