Jumapili , 29th Mei , 2022

Chupa kubwa ya whisky duniani iliyopewa jina la 'The Intrepid' yenye ujazo wa lita 311 imeuzwa kwa dola milioni 1.4 sawa na Tsh bilioni 3.2 katika mnada nchini Scotland.

Muonekano wa chupa ya 'The Intrepid'

Chupa hiyo ina urefu wa futi 5, Mwaka 2021 iliingia katika rekodi ya Guinness ya whisky kubwa duniani.