Naitwa Catheline wa Kurasini, nawapa Hi watoto wote wa kota za Polic Mivinjeni..... eNewz ndo habari ya mjini.
Herry Mwaruka
Hello eNewz, Am Charles watching from Kenya, Nataka kuholla 5 wote mnaoandaa kipindi hiki and wakenya wenzangu ambao hutazama EATV. Big up kila mtu!!!, (Asante kwa salute/holla 5 charles)
Ommy and Fey
Hey it's Ommy and Fey, Tunatuma salamu kwa mama Bajun akiwa NERA MWANZA, Tunampenda sana, Hallaaa 5.