Submitted by Anonymous on Jumatatu , 7th Dec , 2015 Maandalizi ya Sehemu itakayofanyika maonyesho ya mavazi wa harusi kwenye harusi trade fair. Mwanamitindo akionyesha vazi la bibi harusi lenye rangi nyekundu. Mwanamitindo akionyesha vazi la bibi harusi lenye rangi blue bahari. Mwanamitindo akionyesha vazi la bibi harusi lenye rangi nyeupe. Mbunifu wa mavazi akiwa na mwanamitindo wake wakionyesha vazi la sendoff la bibi harusi. Mwanamitindo akionyesha vazi la bibi harusi lenye rangi blue bahari. Mwanamitindo akionyesha vazi la bibi harusi lenye rangi nyeusi lenye mwonekano wa buibui. Wanamitindo wakionyesha mavazi la bibi harusi na msaidizi wake, mavazi yao yapo kwenye rangi nyekundu.