
Mtangazaji wa shindano la Dance100% 2014 Tony Albert au kwa jina maarufu T-Bway 360 akiingia kwa mbwembwe kiwanjani ili kuanza rasmi mashindano hayo, mashindano yalikuwa hatua ya Robo Fainali yaliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco Oysterbay.

Menina Atick mtangazaji wa shindano la Dance100% akiingia kwa madaha ya kudansi katika mashindano ya hatua ya Robo Fainali yaliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco - Oysterbay, mashindano ya Dance100% yanadhaminiwa na Vodacom Tanzania.

Mmoja wa majaji wa shindano la Dance100% Queen Darleen akifanya yake wakati akiingia, mashindano ya Dance100% yanadhaminiwa na Vodacom Tanzania huku kinywaji rasmi kikiwa ni Grand Malt..

Kundi la B2K likionesha ubunifu wao wa kudansi katika hatua ya Robo Fainali ya mashindano ya Dance100% 2014 yaliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco Oysterbay.

Kundi la Mazabe Powder wakionesha ufundi wao wa kudansi katika hatua ya Robo Fainali ya mashindano ya Dance100% 2014 yaliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco Oysterbay.

The Winners ni moja ya makundi yalioshiriki katika hatua ya Robo Fainili ya Dance100% 2014 yaliyofanyika Don Bosco _ Oysterbay jijini Dar es salaam, Mashindano hayo yanadhaminiwa na Vodacom Tanzania na kinywaji rasmi ni Grand Malt.

Kikundi cha TWC kikionesha ubunifu wake wa kudansi katika mashindano ya Dance100% hatua ya Robo Fainali.

Baadhi ya Mashabiki wa Dance100% waliojitokeza kutazama wakiangalia kwa makini ufundi na ubunifu unaooneshwa na makundi yaliyofika hatua ya Robo Fainali, mashindano hayo yalifanyika katika viwanja vya Don Bosco - Oysterbay jijini Dar es salaam

Watangazaji wa shindano la Dance100% Mtangazaji Tony Albert au T-Bway akiwa sambamba na Menina Atick.

Pambana Fasaha kundi la kudansi likionesha uwezo wake katika hatua ya Robo Fainali ya mashindano ya kudansi ya Dance100% yaliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco - Oysterbay jijini Dar es salaam, Mashindano yanadhaminiwa na Vodacom Tanzania

Kundi la Wakali Sisi wakionesha uwezo wao katika hatua ya Robo Fainali ya mashindano ya Dance100% yaliyofanyika Don Bosco - Oysterbay jijini Dar es salaam. mashindano yanadhaminiwa na Vodacom Tanzania na kinywaji rasmi cha mashindano ni Grand Malt.

Vijana wa Grand Malt wakionesha ubunifu wao wa kuchezea baiskeli wakati wa mashindano ya dance100%, Grand Malt ndio kinywaji rasmi cha mashindano ya Dance100% 2014 huku yakidhaminiwa na Vodacom Tanzania.

Bustani Dancers kundi la kudansi likionesha uwezo wake katika hatua ya Robo Fainali ya mashindano ya kudansi ya Dance100% yaliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco - Oysterbay jijini Dar es salaam, Mashindano hayo yanadhaminiwa na Vodacom Tanzania


Baadhi ya Mashabiki wa Dance100% waliojitokeza kutazama wakiangalia kwa makini ufundi na ubunifu unaooneshwa na makundi yaliyofika hatua ya Robo Fainali, Mashindano hayo yanadhaminiwa na Vodacom Tanzania na kinywaji rasmi ni Grand Malt.

Quality Boys wakionesha uwezo wao wa kudansi katika hatua ya Robo Fainali ya mashindano ya Dance100% yaliyofanyika Don Bosco - Oysterbay jijini Dar es salaam.

Kundi la Dar Crew wakionesha uwezo wao katika hatua ya Robo Fainali ya mashindano ya Dance100% yaliyofanyika Don Bosco - Oysterbay jijini Dar es salaam. mashindano yanadhaminiwa na Vodacom Tanzania na kinywaji rasmi cha mashindano ni Grand Malt.

Kundi cha The W-T likionesha Ubunifu wake wa kudansi katika mashindano ya Dance100% hatua ya Robo Fainali.

Kundi la Best Boys Crew wakionesha ufundi wao wa kudansi katika hatua ya Robo Fainali ya mashindano ya Dance100% 2014 yaliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco Oysterbay.

Wazawa Crew ni moja ya makundi yaliyofika katika hatua ya Robo Fainali ya Dance100% 2014 yaliyofanyika Don Bosco - Oysterbay jijini Dar es salaam, Mashindano hayo yanadhaminiwa na Vodacom Tanzania na kinywaji rasmi ni Grand Malt.

Watangazaji wa shindano la Dance100% Mtangazaji Tony Albert au T-Bway akiwa sambamba na Menina Atick wakiwa kwa pamoja na makundi kumi (10) yaliyofanikiwa kuingia hatua ya Nusu Fainali.