Submitted by Anonymous on Jumatano , 19th Mar , 2014 Uwanja Wa Hoteli ya sea cliff ukiwa tayari kwa ajili ya tamasha la black sensation November 2013. Msanii wa kundi la Liquid deep akifanya matayarisho kwa ajili ya shoo yake. Dj Mkali wa miondoko ya Afro house wa kundi la liquid deep akifanya matayarisho ya shoo. Dj akichangamsha mashabiki kabla wakali liquid deep na micasa hawajapanda stejini. Muimbaji wa kundi la liquid deep akitumbuiza katika viwanja vya Sea cliff. Liquid deep wakiimba nyimbo zenye hisia kwa mashabiki wake. Msanii na muimbaji J Something wa kundi maarufu la Micasa akiburudisha mashabiki jukwaani. Bendi ya Micasa ilipoungana kutoa burudani mwanana. Mashabiki mbalimbali waliofika kushuhudia tamasha la Micasa na Liquideep. Mcheza tarumbeta maarufu wa kundi la Micasa akionyesha kufurahia kifaa chake cha kazi. Msaani J something wa Micasa Akiwaonyesha mashabiki jinsi ya kucheza nyimbo yake maarufu ya "Jica" Micasa wakikata mauno stejini na kupagawisha umati wa mashabiki. Msanii J something akipozi na mwenyeji wake wa Black sensation Kabla ya kupanda jukwaani. Dj akionyesha ufundi wake wa vyombo vya muziki. Msanii J something akiwaonyesha mashabiki wake kwamba ana kipaji zaidi ya sauti ya kuimba. MO.T akitumbuiza na Tarumbeta lake stejini huju na kutumbuiza umati uliofika kuwashuhudia. Mashabiki wakicheza kwa furaha nyimbo maarufu za wasanii Micasa na liquid Deep.