VIDEO : Kilichopelekea kifo cha Dogo Mfaume

Thursday , 18th May , 2017

Kibabu Fleva rafiki wa karibu wa marehemu Dogo Mfaume amefunguka na kusema msanii huyo alipooza upande mmoja na katika hatua za mwisho alikuwa amepoteza kabisa kumbukumbu.

Kibabu Fleva anadai Dogo Mfaume alikuwa afanyiwe upasuaji wa kichwa lakini kabla ya hatua kufanyika akapoteza maisha. Mazishi ya Dogo Mfaume yanatarajia kufanyika siku ya kesho Ijumaa maeneo ya Gongolamboto.  

Mtazame hapa akifunguka zaidi. 

Recent Posts

Freema Mbowe

Current Affairs
Polisi msitufunge midomo - Mbowe

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

Current Affairs
Tunaziba mapengo ya ajira - Majaliwa

Lulu Diva kushoto na kulia ni Linex

Entertainment
VIDEO: Linex amkataa Lulu Diva