Jumanne , 24th Mei , 2022

The African Princess Nandy amevunja ukimya kuhusu taarifa za kuwa ujauzito wa Billnass kwa kusema kama kweli angekuwa mjamzito watu wangeona kwa sababu tumbo halijifichi.

Picha ya pamoja ya Billnass na Nandy

Kingine Nandy amenyoosha maelezo juu ya harusi yao ambayo anasema itakuwa ni harusi kubwa.

Zaidi tazama hapa kwenye video.