Mwandishi Mkongwe hapa nchini,Mzee Fili Karashani ambaye aliwahi kupata tuzo ya Maisha ya Mafanikio katika Tasnia ya Habari mwaka 2011
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa ziarani wilayani Ngorongoro alipokwenda kufanya mkutano na watu wa jamii za wamasai na wasonjo Septemba, 2013