Francis Miyeyusho akiwa hoi baada ya kupigwa kwa TKO na Sukkassem Kietyongyuth wa Thailand. Hii ilikuwa April 19 mwaka huu katika ukumbi wa PTA-Sabasaba. Pambano hilo halikuwa la ubingwa.
Picha ya msanii NBA Young Boy na baadhi ya watoto wake
T.I na mtoto wake King Harris
Mechi ya Simba na Mbeya City wakati ikielekea kuanza