kutoka kushoto ni Ibrahim Ajib (Bao bora), Aishi Manula(Kipa Bora), Juma Abdul(Mchezaji bora), Amis Tambwe(Mfungaji bora),
Thabani Kamusoko(Mchezaji Bora wa Kigeni), Mohamed Hussein Tshabalala(Mchezaji Bora Chipukizi)
Wauguzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wakimpokea Dada Neema Mwita Wambura (32) na kuanza mara moja kumfanyia tena uchunguzi wa afya yake katika majeraha aliyoyapata mara baada ya kumwagiwa uji wa moto uliokuwa ukichemka jikoni kitendo kilichofanywa na mume wake.