Nahodha wa stars Mbwana Ally Samata akiambaambaa na mpira jana wakati akiiongoza timu hiyo kwa mara ya kwanza dhidi ya Chad.
Wastara
Billnass katikati akiwa na aleyekuwa Menaja wake Petit Man Kulia, upande wa kushoto ni msanii Country Boy
Wema Sepetu akiwa na Diana.