
kiungo wa mshambuliaji wa pembeni wa Mtibwa Shizza Ramadhani Kichuya.
Wachezaji wa timu za Mgambo JKT na African Sports wakichuana wakati timu hizo zilipokutana.

Beki wa kulia wa timu ya soka ya Yanga, Juma Abdul.

Makamu Mwenyekiti wa CCM, Bara Ndugu Phillip Mangula.

Mshambuliaji wa Yanga raia wa Brazil Gelson Santana JAJA

Kikosi cha cha kwanza cha mabingwa wa ngao ya jamii timu ya Dar es salaam Yanga Afrikans.

Waogeleaji wa Tanzania wakichuana katika moja ya mashindano yakuogelea yaliyoandaliwa na TSA.