Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitizama chumba cha kupigia picha za Mionzi(X-Rays )katika hospitali ya Mawenzi Mkoani Kilimanjaro
Jinsi moto ulivyokuwa unaunguza soko la mitumba la Karume jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa ziarani wilayani Ngorongoro alipokwenda kufanya mkutano na watu wa jamii za wamasai na wasonjo Septemba, 2013
Mwenyeekiti wa DARCOBOA Sabri Mabrouk