Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ubelgiji
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akiwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ubelgiji, Mhe. Dibr Reynders ofisini kwake Bungeni, Dodoma.
Yanga SC imeshinda michezo miwili mtawalia ya ligi kuu Tanzania bara kwa mara ya kwanza tangu ipoteze dhidi ya kikosi cha Tabora United kutokea mkoani Tabora.
Ubora huu wa timu hiyo inayonolewa na Kocha Fadlu Davies unatokana na upana wa kikosio hiko na ubora wa Mchezaji mmojammoja ulioongezeka kwenye kikosi hiko.