Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akiwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ubelgiji, Mhe. Dibr Reynders ofisini kwake Bungeni, Dodoma.
Naibu Waziri Mkuu, Dk. Doto Biteko (kushoto), akimsikiliza Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa GGML, Stephen Mhando (kulia) kuhusu teknolojia mpya zinazotumiwa katika uchimbaji wa kampuni hiyo mkoani Geita. Biteko alitembelea banda la GGML katika kongamano la Kimataifa la Madini na Uwekezaji Tanzania 2023 linalofanyika jijini Dar es Salaam