Picha ya ajali ya kuzama kwa meli ya MV Skagit, ajali iliyotokea jirani na kisiwa cha Chumbe Zanzibar Julai 18 mwaka juzi.
Baadhi ya wavuvi katika Bahari ya Hindi maeneo ya pangani mkoani Tanga
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, Phaustine Martin Kasike.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha kamishna Diwan Athumani kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 22,2016