Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17-2020/21
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17-2020/21 kwenye Ukumbi wa Chuo cha Mipango mkoani Dodoma.
Mgombea Urais kuptia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, chini ya Mwamvuli wa UKAWA Mh. Edward Lowassa akizungumza na Mwenyekiti wa chama hicho Mh. Freeman Mbowe