Mkurugenzi wa Habari kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Zamaradi Kawawa (kushoto) akiwa na Meneja Mawasiliano wa Kituo cha Uwekezaji - TIC Bw. Daudi Riganda.
Makamu wa Rais Dk Philip Mpango (wa pili kulia) akikabidhi tuzo maalum kwa Meneja Mkuu wa Kampuni ya kuzalisha na kusambaza nishati ya gesi ya nyumbani ya Taifa Gas Limited, Devis Deogratius (kushoto).