Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu,akihutubia mkutano wa 69 wa afya duniani unaoendela nchini Geneva-Uswisi.
Katibu wa kongamano la Baraza la Wanawake wa kiislamu Wilaya ya Kongwa Mariam Issa Msami.