Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Patricia Scotland katika Mkutano kuhusu Mikakati ya Kupambana na Rushwa Jijini London, Uingereza.
Mfungaji bora huyo wa mashindano ya kombe la Dunia la mwaka 2002 atashindana na Rais wa sasa wa CBF Ednaldo Rodrigues katika uchaguzi mkuu utakaofanyika 2026.
Lookman amewashinda Achraf Hakimi wa PSG na timu ya taifa ya Morocco,Serhou Guirassy wa Borrusia Dortmund na timu ya taifa ya Guinea na Ronwen Williams wa Afrika ya Kusini.