Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa akiwa meza kuu na viongozi wa kanisa la Africa Inland Church wakati alipohitimisha maadhimisho ya miaka 20
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, Phaustine Martin Kasike.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha kamishna Diwan Athumani kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 22,2016