Rais Kikwete akikabidhi hundi kwa wawakilishi wa kituo cha kulea watoto yatima cha Moyo wa Huruma kilichoko Geita
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa ziarani wilayani Ngorongoro alipokwenda kufanya mkutano na watu wa jamii za wamasai na wasonjo Septemba, 2013