SITE
Insulated pannels ni vifaa vipya vya ujenzi vinavyotumika kama mbadala wa matofali. Ni mchanganyiko wa Styrofoam na wire-mesh ambapo ikipigwa plasta kwa pamoja inakuwa na uimara mkubwa.
SITE
Changamoto ambazo zipo kwenye ujenzi wa Ujenzi wa Insulated Pannels ni kwamba. Watanzania hawana ufahamu wa kutosha kuhusiana na teknolojia hii mpya ya ujenzi.
Fahari ya Nyumba
L shape pamoja na round shape sofa, zimekuwa kwenye chati katika soko la samani za Ndani nchini Tanzania kwa mwaka huu wa 2014.