KITENGO - Kala Jeremiah/Lady Jay Dee
Tukikaribia tuzo za Kili Planet Bongo ndani ya kitengo tukiongea na washindi wa tuzo za mwaka jana akiwemo Kala Jeremiah, Lady Jay Dee na Rachel. Kuhusu tuzo na mafanikio waliopata kutokana na hizo tuzo.
MGODI - Shullavee
Fashinista na akipenda kuvaa ma wig kama NIcki minaj, Shullaveem mtoto huyu ndio katua kwenye game akiwa na style yake ya kuimba ya Dancehall.
Usiku Mnene - Ally Kiba/ Abdu Kiba
Ndani ya usiku mnene; Ally Kiba na mdogo wake Abdu Kiba kama kawa waki hamasisha na kupagawisha pale billscanas.