NJE YABOX
Repa Jafarai ameongea na Planet Bongo nakusema bado anafanya kazi muziki kama biashara na mwezi wa pili 2016 anategemea kuachia kazi yake mpya.
KITENGO
Mwanadada Shaa amesema hapendi tabia ya Mashabiki kumshindanisha na Mwanamuziki Vannesa Mdee wa Tanzania.
3CHAFU
Repa Blackrhyno amejiachia katika kipengele kipya kabisa ndani ya Planet Bongo cha 3CHAFU ambapo Msanii anataja burudani tatu anazozipenda kutoka kwenye Filamu,Sports na Video kali anayoikubali kutoka kwenye Bongo Fleva.

