Izzo Bizness
Izzo Buisness akionyesha jinsi ya kucheza Tumoghele alipokuja kuzindua video yake ya 'Tumoghele' Ijumaa kwenye Friday Night Live, Izzo buisness alikua ameambatana pia na mwanamuziki Quick Racka
Baby Boy
Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu sana msanii wa kundi la Zizzou entertainment 'Baby Boy' akielezea jinsi alivyojitoa kwenye kundi hilo na 'project' yake mpya kama 'solo artist'
Dancers
Kila Ijumaa lazima kuwe na burudani ya watumbuizaji kwenye FNL aidha waimbaji au wachezaji, angalia madansa hawa wa msanii Waziri Wazzy aliyekuwa mshiriki wa BSS wakifanya mambo