Damian Soul
Damian Soul akiimba wimbo wa 'Tudumishe' alio mshirikisha G Nako Warawara.
Mirror
Msanii Mirror akielezea kuhusiana na kitendo cha kum record Nuh Mziwanda wakati alipo kuwa akimtongoza Wema Sepetu.
Tifu
Msanii chipukizi ambaye anaimba nyimbo ya mduara Tifu akionyesha uwezo wake kwenye muziki huo.

