Kesi ya Slaa irejeshwe Mahakama ya Hakimu Mkazi Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu jijini Dar es Salaam imegiza shauri la Dkt. Wilbroad Slaa lirejeshwe Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwaajili ya kushughulikiwa kwa dhamana yake Read more about Kesi ya Slaa irejeshwe Mahakama ya Hakimu Mkazi