Miili ya wanafunzi 7 waliofariki kwa radi yaagwa

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt Doto Biteko akiaga miili ya wanafunzi hao

Leo Januari 30, 2025 mkoani Geita, maelfu ya waombolezaji wamejitokeza kuaga miili ya wanafunzi saba wa Shule ya Sekondari Businda iliyopo wilayani Bukombe waliofariki kwa kupigwa na radi mnamo tarehe 27 januari, 2025.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS