Kiongozi Mkuu wa Hamas auawa Gaza kiongozi mkuu wa chama cha Hamas Salah al-Bardaweel aliyeuawa Shambulizi la anga la Israel katika mji wa kusini wa Khan Younis huko Gaza limemuua kiongozi mkuu wa chama cha Hamas Salah al-Bardaweel. Read more about Kiongozi Mkuu wa Hamas auawa Gaza