Katavi walia na bei ya nyama elfu 12 Baadhi ya watumiaji wa kitoweo cha Nyama katika Manispaa ya Mpanda Mkoa wa katavi wameziomba mamlaka zinazohusika kuingilia kati ongezeko la bei ya nyama kutoka 10000 hadi 12000 kwa kilo moja. Read more about Katavi walia na bei ya nyama elfu 12