Chelsea Kuilipa Man UTD Euro Milioni 5 kwa Sancho Jadon Sancho na Cole Palmer Chelsea italazimika kuilipa Manchester United ada ya pauni £5m ambazo ni zaidi ya bilioni 14 za Tanzania iwapo itaamua kutomsajili Jadon Sancho kwa mkataba wa kudumu msimu huu wa joto. Read more about Chelsea Kuilipa Man UTD Euro Milioni 5 kwa Sancho