First Eleven ya waliopata ustaa mkubwa kimuziki TZ
Picha za wasanii Mr Nice, Chidi Benz na Diamond Platnumz
Kwanza kabisa namuomba DJ anipigie ngoma ya 'Mtazamo' ya Afande Sele, Prof Jay na SoloThang ili nianze kutaja 'First Eleven' ya waliopata ustaa, umaarufu na majina makubwa kwenye BongoFlava.