Afande Sele: Sigeuki nyuma

Staa mkongwe wa muziki wa kizazi kipya hapa Tanzania, Afande Sele, ametoa kauli nzito kuhusiana na mahusiano yake na Mama Tunda ambayo yameharibika kwa muda sasa huku asilimia kubwa ya mashabiki wakiwa katika hali ya sintofahamu kuhusiana na mustakabali wake

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS