Eminem kuichana Afrika Kusini

Rapa wa kimataifa kutoka Marekani, Eminem anatarajia kutua huko Afrika Kusini kwa ajili ya kufanya onyesho kubwa kabisa ndani ya Jiji la Cape Town katika ziara iliyopatiwa jina The Rapture 2014.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS