Lupita apamba jarida maarufu Urembo waasili na mvuto alionao muigizaji filamu anayechipukia raia wa Kenya Lupita Nyong'o umezidi kuchochea umaarufu wake na safari hii nyota huyo amepamba jarida la DuJour. Read more about Lupita apamba jarida maarufu