Bebe Cool kukamilisha ujenzi
Msanii Bebe Cool ameanza kujivunia sifa kubwa hasa kutokana na kupiga hatua kubwa katika matengenezo ya jumba lake kubwa lililoko huko Kiwatule, jumba ambalo kwa miaka kadhaa sasa limekuwa katika matengenezo bila dalili za uwezekano wa kumalizika.