Rufftone kujifunza Kikorea Msanii wa muziki kutoka Kenya, Rufftone anatarajia kwenda huko nchini Korea kwa ajili ya kozi fupi kujifunza lugha pamoja na utamaduni wa watu wa huko, kozi ambayo itachukua takriban miezi miwili mpaka kukamilika kwake. Read more about Rufftone kujifunza Kikorea